Ugani Kiganjani - Daraja La Maendeleo Ya Kilimo

dc.coverageUnited Republic of Tanzania
dc.creatorFAO
dc.date2023-04-27T13:40:08Z
dc.date2023-04-27T13:40:08Z
dc.date2021
dc.date2021-07-19T12:54:59.0000000Z
dc.date.accessioned2026-06-27T20:45:11Z
dc.descriptionUgani Kiganjani ni mfumo wa kibunifu, rahisi kutumia na wenye gharama nafuu, unaotumia simu na mtandao kutoa taarifa za hali ya hewa, kalenda za mazao, lishe, mifugo na uvuvi nchini Tanzania. Ni moja kati ya huduma muhimu za Digitali Kilimo inayotelewa na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa kwa nchi wanachama, inayoendana na huduma nyingine za digitali kilimo zinazowalenga wakulima, ikiwamo M-Kilimo na EMA-i. Chapisho hili linalenga kuwasilisha huduma hii katika njia ya kuvutia kwa wadau wote wanaojihusisha na sekta ya kilimo na chakula kwa ngazi zote, kuanzia mkulima wa kawaida, wawakilishi wa tawala za mikoa na serikali za mitaa, watafiti, maafisa wa juu wa serikali n.k, ili kujenga ufahamu wa aplikesheni o, faida zake, walengwa, na jinsi ya kuitumia katika kuchaingia maendeleo vijijini.
dc.format2p.
dc.formatapplication/pdf
dc.identifierhttps://openknowledge.fao.org/handle/20.500.14283/CB4731SW
dc.identifierhttp://www.fao.org/3/cb4731sw/cb4731sw.pdf
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/123456789/203409
dc.languageSwahili
dc.publisherFAO ;
dc.rightsFAO
dc.titleUgani Kiganjani - Daraja La Maendeleo Ya Kilimo
dc.titleUgani Kiganjani – Bridging towards development
dc.titleHuduma za ugani kilimo mkononi mwako
dc.titleAll the extension agricultural services at hand
dc.typeBrochure, flyer, fact-sheet

Archivos