Ugani Kiganjani - Daraja La Maendeleo Ya Kilimo

No hay miniatura disponible

Fecha

Autores

Título de la revista

ISSN de la revista

Título del volumen

Editor

FAO ;

Resumen

Descripción

Ugani Kiganjani ni mfumo wa kibunifu, rahisi kutumia na wenye gharama nafuu, unaotumia simu na mtandao kutoa taarifa za hali ya hewa, kalenda za mazao, lishe, mifugo na uvuvi nchini Tanzania. Ni moja kati ya huduma muhimu za Digitali Kilimo inayotelewa na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa kwa nchi wanachama, inayoendana na huduma nyingine za digitali kilimo zinazowalenga wakulima, ikiwamo M-Kilimo na EMA-i. Chapisho hili linalenga kuwasilisha huduma hii katika njia ya kuvutia kwa wadau wote wanaojihusisha na sekta ya kilimo na chakula kwa ngazi zote, kuanzia mkulima wa kawaida, wawakilishi wa tawala za mikoa na serikali za mitaa, watafiti, maafisa wa juu wa serikali n.k, ili kujenga ufahamu wa aplikesheni o, faida zake, walengwa, na jinsi ya kuitumia katika kuchaingia maendeleo vijijini.

Palabras clave

Citación