Ugani Kiganjani - Huduma za ugani kilimo mkononi mwako

dc.coverageUnited Republic of Tanzania
dc.creatorFAO
dc.date2023-04-27T13:40:08Z
dc.date2023-04-27T13:40:08Z
dc.date2021
dc.date2021-07-19T13:58:18.0000000Z
dc.date.accessioned2026-06-28T01:33:08Z
dc.descriptionUgani Kiganjani ni mfumo wa kibunifu, rahisi kutumia na wenye gharama nafuu, unaotumia simu na mtandao kutoa taarifa za hali ya hewa, kalenda za mazao, lishe, mifugo na uvuvi nchini Tanzania. Ni moja kati ya huduma muhimu za Digitali Kilimo inayotelewa na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa kwa nchi wanachama, inayoendana na huduma nyingine za digitali kilimo zinazowalenga wakulima, ikiwamo M-Kilimo na EMA-i. Chapisho hili linalenga kuwasilisha huduma hii katika njia ya kuvutia kwa wadau wote wanaojihusisha na sekta ya kilimo na chakula kwa ngazi zote, kuanzia mkulima wa kawaida mpaka maafisa wa juu wa serikali, ingawa kwa hapa mlengwa mkuu ni mkulima anaejihusisha na shughuli za shamba kuonyesha jinsi aplikesheni ilivyo, faida zake, jinsi ya kuitumia na kuipakua kwa faida binafsi.
dc.format2p.
dc.formatapplication/pdf
dc.identifierhttps://openknowledge.fao.org/handle/20.500.14283/CB4732SW
dc.identifierhttp://www.fao.org/3/cb4732sw/cb4732sw.pdf
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/123456789/339687
dc.languageSwahili
dc.publisherFAO ;
dc.rightsFAO
dc.titleUgani Kiganjani - Huduma za ugani kilimo mkononi mwako
dc.titleUgani Kiganjani – All the extension agricultural services in your hands
dc.typeBrochure, flyer, fact-sheet

Archivos