Ugani Kiganjani - Huduma za ugani kilimo mkononi mwako

No hay miniatura disponible

Fecha

Autores

Título de la revista

ISSN de la revista

Título del volumen

Editor

FAO ;

Resumen

Descripción

Ugani Kiganjani ni mfumo wa kibunifu, rahisi kutumia na wenye gharama nafuu, unaotumia simu na mtandao kutoa taarifa za hali ya hewa, kalenda za mazao, lishe, mifugo na uvuvi nchini Tanzania. Ni moja kati ya huduma muhimu za Digitali Kilimo inayotelewa na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa kwa nchi wanachama, inayoendana na huduma nyingine za digitali kilimo zinazowalenga wakulima, ikiwamo M-Kilimo na EMA-i. Chapisho hili linalenga kuwasilisha huduma hii katika njia ya kuvutia kwa wadau wote wanaojihusisha na sekta ya kilimo na chakula kwa ngazi zote, kuanzia mkulima wa kawaida mpaka maafisa wa juu wa serikali, ingawa kwa hapa mlengwa mkuu ni mkulima anaejihusisha na shughuli za shamba kuonyesha jinsi aplikesheni ilivyo, faida zake, jinsi ya kuitumia na kuipakua kwa faida binafsi.

Palabras clave

Citación