Tekinolojia ya Mbili-Mbili; kuongeza uzalishaji wa mikunde Afrika Mashariki

dc.creatorKihara, Job Maguta
dc.creatorKinyua, Michael
dc.date2022-10
dc.date2022-11-11T08:54:07Z
dc.date2022-11-11T08:54:07Z
dc.date.accessioned2026-06-27T13:32:59Z
dc.descriptionMbili-Mbili ni mkakati wa kilimo mseto cha nafaka na mikunde unaohusisha upandaji wa mazao matatu yenye ukuaji na mpangilio tofauti shambani. Tekinolojia hii ilitengenezwa kwa mfumo wa utafiti wa Afrika katika uimarishaji maendeleo endelevu kwa kizazi kijacho. Mradi wa Africa RISING umelenga kuwasaidia wakulima wadogowadogo kuondokana na njaa, uhaba wa chakula, Utapiamlo na umaskini. Hapo awali, kazi kubwa ilifanyika kukuza mazoea ya matumizi ya mbinu bora za kilimo kama vile mchanganyiko wa mbinu za utunzaji rutuba ya udongo (ISFM) ambazo zimeongeza tija ya mahindi kwa mafanikio mazuri.
dc.formatapplication/pdf
dc.identifierhttps://hdl.handle.net/10568/125416
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/123456789/62889
dc.languagesw
dc.relationhttps://hdl.handle.net/10568/125404
dc.rightsOpen Access
dc.sourceKihara, J.M.; Kinyua, M.W. (2022) Tekinolojia ya Mbili-Mbili; kuongeza uzalishaji wa mikunde Afrika Mashariki. Muhtasari wa tekinolojia 4 p.
dc.subjectcrop production
dc.subjectinnovation adoption
dc.subjectintercropping
dc.subjectproducción vegetal
dc.subjectadopción de innovaciones
dc.subjectcultivo intercalado
dc.titleTekinolojia ya Mbili-Mbili; kuongeza uzalishaji wa mikunde Afrika Mashariki
dc.typeBrief

Archivos