Mwongozo Wa Hiari Kuhusu Uwajibikaji Katika Usimamizi Wa Umiliki Wa Ardhi, Maeneo Ya Uvuvi Na Misitu Kwa Ajili Ya Upatikanaji Na Uhakika Wa Chakula Kwa Taifa

dc.creatorFAO
dc.date2023-04-27T13:23:38Z
dc.date2023-04-27T13:23:38Z
dc.date2021
dc.date2022-07-05T13:32:09.0000000Z
dc.date.accessioned2026-06-27T22:19:11Z
dc.descriptionMwongozo huu ni nyenzo ya kwanza yenye kina na ya kimataifa kuhusu usimamizi wa umiliki iliyoandaliwa kupitia mashauriano ya kiserikali. Ndani mwake mna ufafanuzi wa kanuni na viwango vilivyokubalika kimataifa kuhusu vitendo vyenye uwajibikaji katika matumizi na udhibiti wa ardhi, maeneo ya uvuvi na misitu. Kanuni zilizomo zinatoa mwelekeo wa kuimarisha sera, sheria na taratibu za kiasasi zinazodhibiti haki za umiliki; uendelezaji wenye uwazi na usimamizi bora wa mifumo wa miliki; na kuimarisha uwezo na utendaji kazi wa mashirika ya umma, mashirika binafsi ya uwekezaji, asasi za kiraia, na watu wenye maslahi katika umiliki na usimamizi wa miliki. Miongozo iliyomo humu imejadili usimamizi wa umiliki katika kiwango cha kitaifa kwa ajili ya upatikanaji wa chakula kwa uhakika, na imekusudiwa kuchangia katika upatikanaji, kwa hatua, wa chakula cha kutosha, kutokomeza umaskini, kulinda mazingira na kufanikisha maendeleo endelevu ya kijamii na kiuchumi.
dc.format52 p.
dc.formatapplication/pdf
dc.identifier978-92-5-134532-0
dc.identifierhttps://openknowledge.fao.org/handle/20.500.14283/I2801SW
dc.identifierhttp://www.fao.org/3/i2801sw/i2801sw.pdf
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/123456789/249353
dc.languageSwahili
dc.publisherFAO ;
dc.rightsFAO
dc.titleMwongozo Wa Hiari Kuhusu Uwajibikaji Katika Usimamizi Wa Umiliki Wa Ardhi, Maeneo Ya Uvuvi Na Misitu Kwa Ajili Ya Upatikanaji Na Uhakika Wa Chakula Kwa Taifa
dc.titleThe Voluntary Guidelines on the Responsible Governance of Tenure of Land, Fisheries and Forests in the Context of National Food Security
dc.typeBook (stand-alone)

Archivos