Usindikaji wa majongoo bahari kuwa chakula kiitwacho bechedema
| dc.creator | Purcell, S.W. | |
| dc.date | 2023-04-27T13:31:33Z | |
| dc.date | 2023-04-27T13:31:33Z | |
| dc.date | 2021 | |
| dc.date | 2021-02-16T15:47:16.0000000Z | |
| dc.date.accessioned | 2026-06-27T20:49:44Z | |
| dc.description | Mwongozo huu umeundwa kwa ajili ya wavuvi wa majongoo bahari kuelewa vizuri hatua zote za kubadilisha majongoo bahari mabichi mpaka kuyakausha, ambayo huitwa ‘bechedema’. Usindikaji unajumlisha kukata, kuweka chumvi, kupika, kukausha kwa moshi na kukausha majongoo bahari juani. Bei wanayopewa wavuvi wakiuza majongoo bahari yaliokaushwa inategemea aina ya jongoo wanayouza, ukubwa wa jongoo na umakini uliotumika wakati wa usindikaji. Kuna njia nyingi ambazo majongoo bahari yanaweza kusindikwa ili kupata ubora mzuri. Mwongozo huu unaelezea njia nzuri zaidi zinazoweza kutumiwa na wavuvi kwa kutumia rasilimali zinazopatikana kirahisi vijijini kwao. Mwongozo huo una sehemu inayoelezea juu ya uvuvi wa uwajibikaji na hauhamasishi kuongeza shughuli za uvuvi. | |
| dc.format | 52 p. | |
| dc.format | application/pdf | |
| dc.identifier | 978-92-5-133901-5 | |
| dc.identifier | https://openknowledge.fao.org/handle/20.500.14283/i8576sw | |
| dc.identifier | http://www.fao.org/3/i8576sw/i8576sw.pdf | |
| dc.identifier.uri | http://hdl.handle.net/123456789/205632 | |
| dc.language | Swahili | |
| dc.publisher | FAO ; | |
| dc.rights | FAO | |
| dc.rights | CC BY NC SA 3.0 IGO | |
| dc.title | Usindikaji wa majongoo bahari kuwa chakula kiitwacho bechedema | |
| dc.title | Processing sea cucumbers into beche-de-mer | |
| dc.title | Mwongozo kwa wavuvi wa Visiwa vya bahari ya Pasifiki | |
| dc.title | A manual for Pacific Island fishers | |
| dc.type | Book (stand-alone) |
