Kadi ya kuwatambua samaki wakubwa. kwa ajili ya uvuvi wa Bahari Hindi

No hay miniatura disponible

Fecha

Título de la revista

ISSN de la revista

Título del volumen

Editor

FAO ;

Resumen

Descripción

Kadi hizi tambulishi zimetengenezwa na Tume ya Tuna ya Bahari ya Hindi (IOTC) ili kusaidia kuboresha taarifa na takwimu za samaki aina ya cetaceans wanaoingiliana na uvuvi wa jodari katika Bahari ya Hindi. Miongozo hii inakusudiwa kutumiwa na wavuvi, mabaharia na watakwimu kuhusiana na aina ya jodari na papa katika Bahari ya Hindi.

Palabras clave

Citación