Mifugo yenye afya, Wafugaji wenye furaha!

dc.creatorFAO
dc.date2023-04-27T13:03:03Z
dc.date2023-04-27T13:03:03Z
dc.date2018
dc.date2018-11-12T10:38:04.0000000Z
dc.date.accessioned2026-06-27T22:02:10Z
dc.descriptionMifugo yenye afya, Wafugaji wenye furaha! Ugonjwa unapotokea, na dawa aina ya antibayotiki zikashindwa kufanya kazi, unaweza kupoteza Mifugo yako yote kutokana na ugonjwa. Hii pia inahatarisha afya yako na familia yako kwani ugonjwa unaweza kusambaa kati ya Mifugo na binadamu. Okoa maisha kwa kufuata ushauri uliopo hapa chini kuanzia leo! Kuna sababu kuu mbili zinazosababisha dawa zishindwe kutibu magonjwa; • Kutumia dawa isiyo sahihi wakati wa matibabu husika au matumizi holela ya dawa. • Vimelea vinavyosababisha maambukizi vinakuwa sugu dhidi ya dawa- kitendo hiki huitwa “Usugu wa Dawa”. Kila tunapotumia dawa mfano Antibayotiki kutibu maambukizi kwa binadamu, mifugo na mimea, vimelea hawa hupata fursa ya kubuni mbinu mbalimbali za kukabiliana na tiba na kusabababisha dawa zipungue uwezo wa kutibu kadri muda unavyoenda. Usugu wa dawa ni moja ya sababu kubwa inayosababisha dawa nyingi muhimu kushindwa kutibu ipasavyo. Tusipokuwa na dawa zinazofanya kazi vema, watu wengi, mifugo na mimea itakuwa katika hatari kubwa ya kufa kutokana na maambukizi. Lakini tunaweza kuchukua hatua sasa ili kuziwezesha dawa hizi kuendelea kufanya kazi ipasavyo!
dc.format4
dc.formatapplication/pdf
dc.identifierhttps://openknowledge.fao.org/handle/20.500.14283/CA2348SW
dc.identifierhttp://www.fao.org/3/CA2348SW/ca2348sw.pdf
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/123456789/241229
dc.languageSwahili
dc.publisherFAO ;
dc.rightsFAO
dc.titleMifugo yenye afya, Wafugaji wenye furaha!
dc.titleHealthy animals, happy farmers!
dc.titleHatua kumi bora zinazofaa ili kuwa na mifugo na binadamu wenye afya na kuziwezesha dawa kuendelea kufanya kazi
dc.titleTop ten actions for farmers to keep animals and people healthy and antimicrobials working
dc.typeBrochure, flyer, fact-sheet

Archivos